Siku ya leo tarehe 8
Disemba 2022 Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Solomon
I. Shati, watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Tarime na wananchi wa sirari kwa pamoja wameshiriki zoezi la
kufanya usafi katika mji wa Sirari maeneo ya soko, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha
miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Kauli Mbiu: MIAKA 61 YA UHURU AMANI NA UMOJA NI NGUZO YA
MAENDELEO YETU |
Comments
Post a Comment