Posts

Showing posts from November, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mara Awapongeza Halmashauri ya Wilaya ya Tarime

Image
Tarime inapendeza MKUU WA MKOA WA MARA AWAPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME KWA KUTII AGIZO HARAKA LA MHE DK. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUHAMIA NYAMWANGA. Kufuatia agizo la Rais wa awamu ya tano Dk.John Pombe Joseph Magufuri kuagiza halmashauri zote kuhama mjini na kwenda maeneo ya vijijini (maeneo yao ya utawala), alipokuwa katika ziara ya kikazi  mkoani Rukwa katika wilaya ya sumbawanga mji mdogo wa Lahela ili kuhakikisha wanatoa huduma kwa wananchi wanyonge. Naye mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya tarime Ndugu. Apoo Castro Tindwa kwa kushirikiana na madiwani wa halmashauli hiyo wameafikiana kuhama haraka kutoka katika halmashauri ya mji wa Tarime na kwenda katika eneo lililopangwa kwa ajili ya halmashauri hiyo ikiwa ni kati ya halmashauri 31 ambazo azipo katika maeneo ya kiutawala. Hata hivyo halmashauri ya wilaya ya Tarime tayari imeshahamia katika kijiji cha Nyamwaga Kata ya Nyamwaga ndani ya majengo ya o