MKUU WA WILAYA YA TARIME AONGONZA KUFANYA USAFI KUADHIMISHA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA BARA
Mkuu wa Wilaya ya Tarime
Mheshimiwa Col. Michael Mntenjele leo amewaongoza viongozi na wananchi katika
kufanya usafi katika mji wa Sirari maeneo ya soko, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha
miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Kauli Mbiu: MIAKA 61 YA UHURU AMANI NA UMOJA NI NGUZO YA
MAENDELEO YETU |
Comments
Post a Comment